MoroBuzz - Rock Garden
演唱:Fredrick Mulla、Umoja SoundsKelele nyingi hazinizuii Tembo kunywa maji
Kelele nyingi zitakufanya uzime kunywa maji
Hii ni wave inatoa haters kwenye maji
Sio mpaka nidanganywe ndo nikunywe maji
Kinjekitile Ngwale
Niko mbele ya muda niliamka ngware
Wanataka shindana ili tutoke sare
Mi naweka kazi kila siku climbing
Skia sasa, kuna washkaji wakaribu watachukia
Kuona unanukia unapiga steps hatua mia
Watajifanya Mr. Nice uone wanakufagilia
Kumbe wana kung’ong’a usichanganye na kushangiliwa
Watu wengi wanang’ongwa na hawajui
Siku wakijashtuka kumekucha ni asubuhi
Namuomba Mungu Daily anionyeshe yupi rafiki yupi adui
Kuna story kuhusu wewe ukiziskia unashangaa kumbe wewe uko hivi na haujui?
Mawe toka juu yawashukie kama mvua
Yawarudishe kwa mstari mnahitaji time ya kukua
Sehemu ambayo umekua kuna watu wakaribu
Hawapendi kukuona ukisimama unapumua
They wanna see you die bro
Tukutane next time Dar bro
Kila mkiminya huku zinaongezwa dabo
Binadamu wote si tumeumbiwa struggles